Ajali ya ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa timu ya Chapecoense ya Brazil, iliua watu takriban 71. Ndege ilibeba jumla ya watu 77 ambapo sita kati yao walinusurika kufa nakutoka wazima katika ajali hiyo. Nimekuwekea picha zinazoonesha eneo la tukio.
No comments