}

Hii hapa ratiba ya mechi mbalimbali Dunianiani, ikiwemo ya Ligi kuu Tanzania bara.

Na. Geofrey Donatus Jacka.

Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara. 

Wakati presha ya usajili wa dirisha dogo la usajili ikiwa imekamilika nchini Tanzania, tayari ratiba ya mechi za ufunguzi wa mzunguuko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara umewekwa bayana na muda mchache baadae mechi zitapigwa katika viwanja mbalimbali hapa nchini.

Kati ya mechi zinazotazamiwa kwa jicho la kipekee ni mechi za Simba ambao watakipiga na Ndanda Fc, wanakuchele kutokea kusini mwa Tanzania huko mkoani Mtwara,  mechi ambayo itapigwa Nangwanda Sijaona huko Mtwara, lakini pia mechi ya Yanga na JKT Ruvu ambapo Yanga watakuwa ndio Wageni.

Mechi hizi zinatazamwa kwakuwa Simba na Yanga zimefanya mabadiliko mengi katika timu zao, kwahiyo wadau wa soka wanataka kuona je!,  yaliyomo yamoo?.

Kufuatia hayo nimeona nikuwekee ratiba ya mechi  za hapa Tanzania na Mataifa Mengine.  Jionee mwenyewe  nyasi za viwanja mbalimbali Duniani zitakavyopata shida.


















No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.