}

Alikiba anyakua tuzo tatu za EATV AWARDS.

Alikiba akiwa na wadau wake Mara baada yakunyakua tuzo hizo. 
Jumamosi ya tarehe 10 Desemba ni siku iliyokuwa ikisubiriwa kwahamu kubwa na wa Tanzania wengi na hata Afrika Mashariki kwaujumla kwakuwa ilikuwa ndio siku yakutoa tuzo kwa washindi wa tuzo za EATV AWARDS.

Tuzo hizo zilitolewa Mlimani city jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa burudani ikiwemo waigizaji wa filamu na wasanii wa muziki wa hapa nchini Tanzania na hata nchi jirani, huku Waziri wa sanaa utamaduni na michezo Mh. Nappe Mosses Nauye akiwa mmoja wa watu waliohudhuria na kupewa nafasi yakutangaza nakutoa tuzo kwa mshindi wa tuzo ya heshima ambaye ni  Dj Boni love.

Walioshinda tuzo hizo katika nafasi mbalimbali ni kama ifuatavyo.
1.Alikiba
2.Lady jaydee
Ladyjaydee na mpenzi wake baada yakupokea tuzo. 

3.Manfongo
4.Gabbo- muigizaji wa filamu
5.Chuchu hansi-Filamu
6.Navy kenzo.
7.DjBonilove-tuzo ya heshima

EATV AWARDS ilitoa fursa kwa wasanii kujipendekeza kuchukua fomu za kuingia katika mchuano mkali ambao washindi watetangazwa Leo baada yakupigiwa kura na mashabiki wao.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.