WATANZANIA WAMEJITOKEZA MKAPA KUSHUHUDIA UFUNGUZI MICHUANO YA CHAN2024
Michuano Hiyo Inaanza Leo Katika Uwanja Wa Benjamini Mkapa Itachezwa Katika Kataifa Matatu Ambayo Ni Tanzani Kenya Na Uganda
Mechi Ya Ufunguzi Inahusisha Timu ya Taifa Ya Tanzania dhidi ya Bukinafaso Mchezo amabo Unaanza Majira Ya Saa mbili Kamili Usiku.
No comments