}

Picha 7 kutoka eneo la Ajali ya Ndege iliyoua wachezaji wa Blazil.

Ajali ya ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa timu ya Chapecoense ya Brazil, iliua watu takriban 71. Ndege ilibeba jumla ya watu 77 ambapo sita kati yao walinusurika kufa nakutoka wazima katika ajali hiyo.  Nimekuwekea picha zinazoonesha eneo la tukio.







No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.