Lwandamina aumiza kichwa, ashangaa Leo wachezaji Yanga kukubali kufanya mazoezi.
Na. Anaseli Stanley Macha.
Baada ya kuwepo kwa taarifa mbalimbali za wachezaji wa yanga kugomea kufanya mazoezi kutaokana na madai ya ktolipwa mishahara yao Leo wameanza kuomekana katika uwanja wa uhuru wakifanya mazoezi kwaajili ya kujiwinda dhidi ya African Lyon.
Yanga wanatarajia kucheza mchezo wao wa pili katika mzunguko huu wa pili wa ligi kuu Tanzania bara siku ya ijumaa ambapo Leo hii wameanza mazoezi ya nguvu kwa lengo la kujiweka sawa kuelekea katika mchezo huo.
kituochahabari.bgogspot.com kilimtafuta kaimu katibu mkuu wa klabu hiyo Baraka Deusdedit ambapo amejinasibu kutoka na alama zote tatu mbele ya majilani zao hao Africa Lyon
Kwa upande wa klabu ya African lyon uongozi wa klabu hiyo umesema kwamba wanaitambua yanga kuwa ni klabu kubwa na inawachezaji wazuri lakini kwao hiyo sio sababu ya kuwafanya washindwe kupata matokeo mazuri

No comments