}

SIMBA YAJIFUA GYM LEO NCHINI MISRI | MPANZU HAYUPO KAMBINI SIMBA KUMSAKA KILA KONA

Kikosi Cha Simba aleo Kimeendelea Na Mazoezi yake Ikiwa Ni Maandalizi Ya Msimu Mpya Wa Mashindano Nchini Tanzania na Ushiriki wa Mashindano ya CAF

Simba Iko Nchini Misri Katika Mji Wa Ismailia Ambapo Itakaa kambi kwa Wiki Nne chini Humo Kabla Ya Kureje Nchini Kwa ajili ya Kuelekea Katika Mchezo wa Simba Day Na Kuanza Kwa Ligi.

Simba Leo Imefanya Mazoezi ya Gym na baadae wataendelea Na Mazoezi ya Uwanjani Ili kuimarisha Misuli na Nakurejesha Makali yake Kwa Kuja Kutwaa Ubingwa Wa Ligi Kuu.

Nyota Ambao wamesajiliwa Katika Kikosi Hicho wengi wameingia Kambini huku wale ambao bado hawajatambulishwa Wanatarajia akujiunga ana Timu pindi taratibu zitakapokamilika.

Mpka Sasa Nyota Pekee ambae alimaliza Msimu uliopita Na Hajajiunga Na Timu ni Eli Mpanzu ambae inatajwa Kuwa Hapokei simu za Viongozi na Hakuna Taarifa Yoyote Klabuni dhidi yake.

Klabu Ya Simba Imempa Muda Mpanzu hadi Leo Awe amewasili Kambini Nchini Misri na Kama Hatofanya Hivyo Basi kalbu Itamchukulia Hatua Za Kinidhamu.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.