MGOMBEA URAIS NCCR-MAGEUZI ACHUKUA FOMU INEC
Mgombea urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi,Haji Ambar Khamis,Agosti 15,2025, amechukua fomu ya uteuzi ya kugombea nafasi hiyo na kuahidi kuweka mkazo katika kuondoa kero zinazowakabili wananchi wa kawaida.
Khamis ametoa ahadi hiyo Jijini Dodoma, mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo, na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji wa rufani Jacobs Mwambegele ,akiwa ameambatana na mgombea mwenza wake Dokta Aveline Munisi.
Amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuiongoza nchi atashirikiana nao katika kutunga sera na sheria
No comments