}

Kauli ya Guardiola kufuatia mchezo na Arsenal hapo kesho.

Pep Guardiola, kocha wa Man city. 

Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Manchester city na Arsenal 'The Ganners' boss wa Manchester city Pep Guardiola amezungumzia mambo mengi ikiwa pamoja na Safu yake ya Ulinzi, lakini kubwa amesisitizia kuwa kwa mechi ya kesho atahakikisha Anashambulia zaidi kuliko Kukaba.


Guardiola pia amesema Arsenal sio timu mbaya kwakuwa wanawachezaji wazuri na imetimia katika kila idara, kwahiyo sio timu yakubeza hivyo amejipanga kikamilifu katika kuikabili.

No comments

Haki zimehifadhiwa. Copyright, kituochahabari.com ©2016. Blog designed by Geofrey Donatus Jacka.. Powered by Blogger.