MADAKTARI BINGWA KUTOKA MOI WAANZA UPASUAJI WATOTO WENYE MATATIZO YA VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI NACHINGWEA.
Na.Geofrey Jacka-Lindi. Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), wameanza upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya vichwa...