TIRA IMEWAFUTIA LESENI KAMPUNI ZA USHAURI NA UDALALI WA BIMA.
Na. Happy Shirima-Dar. Mamlaka ya usimamizi wa shughuli za bima nchini (TIRA)imefutia leseni kampuni za USHAURI na udalali was bima (...
}
Na. Happy Shirima-Dar. Mamlaka ya usimamizi wa shughuli za bima nchini (TIRA)imefutia leseni kampuni za USHAURI na udalali was bima (...
Mahakama moja India imewahukumu kifungo cha maisha jela watu 11 kwa kumuua muuzaji nyama Muislamu kwa jila la Alimuddin Ansari, Juni 2017...
Na. Happy Shirima-Dar. Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation,limeingia makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na kampuni y...
Na. Happy Shirima-Dar Mkurugenzi mtendaji wa REPOA Dkt. Donald Mmari. Taasisi inayojishughulisha na tafiti uchumi nchini Repoa Kwa ku...
Rais Xi Jinping wa China amefunga kikao cha mwaka cha bunge la nchi hiyo leo kwa kutoa ahadi ya mwanzo mpya wa kuwa na jeshi lenye nguvu....
Watafiti wanasema Faru mweupe wa mwisho wa kiume duniani anayejulikana kwa jina la Sudan amefariki kufuatia matatizo aliyokuwa nayo yaliy...
Na. Geofrey Jacka-Lindi. Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Mh. Rukia Muwango kwakushirikiana na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MO...
Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre, amesema matarajio yake katika mchezo wa kesho dhidi ya Al Masry anatarajia kiwango kizuri kutoka kw...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 16 imewarejeshea uanachama wa CUF, Wabunge nane waliovuliwa uanachama mwaka jana na M...
Yanga inaendelea na maandalizi yake ikiwa ugenini kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), limetoa orodha ya Viwango Vya Ubora wa Soka ambapo Tanzania imeshika nafasi ya mwisho ukanda...
kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza ametangaza kikosi kitakacho kwenda katika michuano ya kombe la dunia nchini Urusi mwaka huu V...
KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia maisha Makamu wa Rais wa shirikisho hilo, Michael Wambura kutojihusisha ...
Na. Happy Shirima-Dar. Mkurugenzi mtendaji wa Repoa Dk.Dornald Mmari. Taasisi isiyokuwa ya kiserekali inayojishughulisha na utafiti,...
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 13 (U13) inatarajiwa kushiriki michuano ya vijana itakayozikutanisha timu za vijana za ...
Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki katika kalenda ya FIFA inayoanza Machi 19 – 27, 2018 dhidi ya timu za Taifa...
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiand...
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhid...
Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea mjini Gaborone, Bostwana, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrik...
Kikosi cha Yanga kimepangwa kukamilisha hatua ya robo fanali ya michuano ya kombe la shirikisho manmo aprili mosi 2018 katika uwanja wa na...
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kupitia Bodi ya Ligi, limemtangaza Mchezaji, Kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi, kuwa mchezaji b...